Miezi michache ikiwa imepita tangu kutokea tukio la uvamizi wa kituo cha Clouds Media Group na kuundwa kwa kamati ya kuchunguza tukio hilo, hatimaye aliyekuwa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye ameandika kuhusu kazi ya kamati aliyoiunda.
Nape ambaye uteuzi wake ulitenguliwa ameandika >>> Niliunda Kamati Kuchunguza TUKIO LA KUVAMIWA KITUO CHA UTANGAZAJI sio kumchunguza RC Kama RC alikuwa mmoja wa wavamizi, HAYUKO JUU YA SHERIA!<<< Nape Nnauye
Niliunda Kamati kuchunguza kuvamiwa kituo cha utangazaji sio kumchunguza RC, alikuwa mmoja wa wavamizi, hayuko juu ya sheria – @Nnauye_Nape pic.twitter.com/MUEwQgBQny
— millard ayo (@millardayo) May 23, 2017
VIDEO: Ulipitwa na ripoti ya kamati ya Nape Nnauye kuhusu uvamizi wa Clouds Media? Tazama hapa chini.