fB insta twitter

Maneno manne ya Nape Nnauye baada ya kuuliza swali Bungeni leo

on

Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limeendelea leo April 12, 2017 kipindi cha maswali na katika Mkutano wa Saba, Kikao cha Sita likiwa Bunge la Kumi na Moja ambapo miongoni mwa waliouliza maswali ni Mbunge wa Mtama Nape Nnauye.

Baada ya kuuliza swali hilo, Nape Nnauye ameyaandika maneno manne katika account yake ya Twitter>>>“Happily saving my Jimbo!” – Nape Nnauye.

VIDEO: Swali la Nape Nnauye Bungeni leo. Bonyeza play kutazama.

Soma na hizi

Tupia Comments