Baada ya Kamati Maalum iliyoundwa na Rais Magufuli kumkabidhi ripoti ya uchunguzi wa mchanga wa madini uliokuwa kwenye makontena 277 yaliyozuiwa kusafirishwa kwenda nje, Mbunge wa Mtama Nape Nnauye amempongeza JPM kwa maamuzi yake.
Nape ameandika kwenye twitter yake >>> Hili la Mchanga…! Big Up!<<< – Nape Nnauye.
Hili la Mchanga…! Big Up! pic.twitter.com/BVZPz2IRN9
— Nape Moses Nnauye (@Nnauye_Nape) May 24, 2017
VIDEO: Kila kitu kuhusu ripoti ya mchanga wa madini, waliotenguliwa na mangine ya leo Ikulu yapo hapa. Bonyeza play kutazama.