AyoTV

VIDEO: Waziri Nape alivyotangaza kulifuta gazeti la ‘MAWIO’

on

Leo Jan 17 2016 Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mh. Nape Nnauye alikutana na waandishi wa habari Dar na kutangaza maamuzi ya Serikali kulifuta gazeti la Mawio, stori kamili iko kwenye hii video.

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyezahapa>>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE.

Soma na hizi

Tupia Comments