AyoTV

VIDEO: ‘Akikosea mtu lazima tuseme kweli hapa umekosea’ -Nape Nnauye

on

Mbunge wa Mtama Lindi Nape Nnauye amerudi jimboni kwake na kuzungumza na Wananchi kwa mara ya kwanza toka aondolewe kwenye baraza la Mawaziri alikokua akitumikia nafasi ya Waziri wa habari, sanaa, Utamaduni na michezo. Bonyeza play hapa chini kutazama akizungumza na wananchi wa Mtama

VIDEO: Nape alivyozuiwa na Polisi “alietoa Bastola aje hapa’, Bonyeza play hapa chini kutazama

Soma na hizi

Tupia Comments