Habari za Mastaa

Pichaz 20 za waziri Nape alipokutana na wanamuziki wa Tanzania leo

on

March 16 wasanii wa muziki Tanzania wamekutana na waziri wa habari, vijana, sanaa, utamaduni na michezo Nape Nnauye kujadili mambo kadhaa ikiwemo ugawaji wa mirabaha ya kazi zao, wasanii wamejadiliana na waziri amethibitisha kuwa serikali ina mpango wa kurasimisha sanaa kuwa kazi rasmi. Stori kamili nakusogezea video Ayo Tv.

3X6A9033

3X6A9051

3X6A9052

Kutoka Kushoto Nahreel, Cyril na Aika

3X6A9054

Pale wasanii hoja zilipo wafurahisha

3X6A9094

Waziri Nape Nnauye

3X6A9097

fh

3X6A8959

Fid Q

3X6A8980

Producer wa muziki P Funk

3X6A8982

3X6A8988

Linex

3X6A8990

3X6A9002

Afsa Kazinja

3X6A9008

Ukafika wakati wa Snura kuchangia

3X6A8890

Wasanii wakisikiliza hoja

3X6A8910

Mrisho Mpoto

3X6A8920

Meneja wa Diamond Platnumz ‘Bab Tale’

3X6A8929

Wasanii na wadau wa sanaa waliohudhuria

3X6A8933

Mwana FA

3X6A8951

Peter Msechu alikuwepo pia

3X6A8955

Barnaba wakati wa kutoa mtazamo wake

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andikaAYO tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na MillardAyo kwenye TwitterFBInstagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>>INSTAGRAMTWITTERFBYOUTUBEya

Soma na hizi

Tupia Comments