Mix

Mbunge mwingine kazikataa mil.90 za gari jipya, mipango yake ni hii…(+Audio)

on

Kasi ya Rais Magufuli katika kupambana na matumizi holele ya fedha za Serikali imeendelea kushika kasi hata kwa baadhi ya viongozi wa vyama vya upinzani, Hapa nakukutanisha na Mbunge wa  Arumeru Mashariki Joshua Nassari alipotembelea Hospitali ya Wilaya,na kuamua kufanya haya maamuzi.

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa>>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments