Habari za Mastaa

Nasty C amekuwa msanii wa kwanza Africa kusaniwa lebo aliyopo Justin Bieber, Big Sean, Pusha T na wengine

on

 Rapa kutoka nchini South Africa Nasty C amepata shavu la kusainiwa na lebo kubwa inayosimamia kazi za wasanii wakubwa duniani ya Def Jam.

Dili hilo linamfanya Nasty C kuwa msaniii wa kwanza Afrika kusainiwa na lebo hiyo kubwa duniani, na mpaka sasa lebo hiyo inasimamia wasanii kama Justin Bieber, Big Sean, Pusha T na wengine wengi.

VIDEO: “Aliniumiza sana, sitamani kurudiana naye” Mzazi mwenza na Hammer 

Soma na hizi

Tupia Comments