Habari za Mastaa

T.I atoa povu kuhusu tuhuma za kifo cha dada yake (+video)

on

Kwa mujibu wa mtandao wa TMZ uliripoti kuwa chanzo cha kifo cha Precious Harris’62 ambaye ni dada wa Rapper T.I kimetajwa kuwa alizidisha matumizi ya dawa za kulevya aina ya cocaine ambapo ilipelekea kuongezeka kwa mapigo yake ya moyo na kusababisha kupata ajali mbaya ya gari.

Baada ya TMZ kuripoti taarifa hizo saa chache T.I aliamua kuongea kupitia Instagram LIVE na kuwasema vibaya TMZ na alikanusha taarifa hizo ambazo zilichapishwa na aliendelea kudai kuwa hakuna ukweli wowote juu ya taarifa hiyo na amesikitishwa na mtandao huo kuandika taarifa hiyo. T.I alingia kwenye ukurasa wake wa IG na kuandika ujumbe kwa dada yake.

“Pumzika kwa amani dada, tupo pamoja na wewe, silaha zinawezwa kutengenezwa lakini hawatoshinda sio leo. Ulikua mtu mwema kwa sisi wengi hatuwezi kuona kitu kinakudhuru au kukuweka kwenye hatari au vitu ulivyoacha” >>>aliandika T.I

Precious Harris’62 alifariki February 22,2019 baada ya kupata ajali mbaya ya gari huku vyombo vingine vya habari viliripoti kuwa alipoteza fahamu na kuanguka chini alipokuwa kwenye chumba cha kupigia simu na alikimbizwa hospitali ya serikali na kuripotiwa kufariki wiki moja baadae.

Imeripotiwa kuwa leo June 7,2019 mtandao wa TMZ umeandika barua kwa rapper huyo na kuomba msamaha kwa kile walichoandika kuhusu dada yake na kudai kuwa walikosea na familia ya T.I iko sahihi kukasirika wamefanya makosa na wanajuta kuweka wazi taarifa hizo.

Earlier Thursday, we posted a story about T.I.’s sister, Precious Harris Chapman, and reported the Medical Examiner’s official findings on her cause of death … we were wrong to do it.

T.I. and his family are hurt and furious, and they have a point.

Precious was only peripherally involved in T.I. and Tiny’s reality show, and wasn’t in the spotlight as a celebrity.

We got this wrong and we regret posting the M.E.’s findings.

VIDEO: BARNABA KWENYE JUKWAA LA NANDY FESTIVAL SUMBAWANGA

Soma na hizi

Tupia Comments