Videos

VideoMPYA: Msanii mpya kutoka The Industry ya Navy Kenzo anatualika kuitazama video yake ‘Njoo’

on

Baada ya Label ya The industry inayoongozwa na Nahreel na Aika kuwatangaza wasanii wao wapya sasa good news kutoka The industry  ni hii video mpya ‘Njoo’ ya msanii wa mpya Seline wanatualika kuitazama video, usisahau pia kuniachia comment yako hapa wakali hao wataiona.

ULIKOSA HII KAMATIA CHINI YA NAVY KENZO KWENYE STAGE CLUB 71? UNAWEZA KUANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments