Videos

VideoMPYA: Navy Kenzo na Patoranking wametuletea video ya ‘Bajaji’

on

Miongoni mwa video zilizonifikia leo June 20, 2017 ni pamoja na hii ya collabo ya Navy Kenzo ambayo wamemshirikisha Patoranking kutoka Nigeria. Wimbo uniatwa ‘Bajaji’ ikiwa ni moja kati hits zilizopo kwenye albamu yao ya AIM.

Itazame hapa chini na unaweza piakuniachia maoni yako hapo chini kwenye comments ili Navkenzo wakisoma wajue wadau mmeipokea vipi>>>

Video:Safari ya kwanza kwa ‘Navy Kenzo’ Israel wameyaongea haya Airport DSM>>>  

Soma na hizi

Tupia Comments