Premier Bet
TMDA Ad

AyoTV

VIDEO: Navy Kenzo wamevitaja vigezo wananvyoangalia kusign msanii kwenye label yao

on

Nikitaja list ya wasanii kutoka bongoflevani pia miongoni ma group ynayofanya vizuri kwenye game huwezi kuwaacha Navy Kenzo ambapo kwasasahivi ni miongoni mwa wasanii wa Tanzania waliokuwa nominated kuwania tuzo za MTV MAMA 2016 kwenye kipengele cha Best Group zitakazo tolewa nchini South Africa Oct 2016.

Kama mnavyofahamu Navy Kenzo, Nahreel ni producer pia wana label yao binafsi ya mziki ambayo wameielezea kuingiza wasanii wao sokoni hivi karibuni Millardayo.com na AyoTV ilipokutana nao walieleza licha ya kusign tu wanamuziki kwenye label yao lakini pia wamevitaja vigezo vyao wanavtoangalia ili kusign msanii chini ya label hiyo na haya ndio waliosema.

>>>‘Tunaplan ya kusainisha wasanii wenye vipaji awe mkubwa ama mdogo, lakini tunaangalia msanii ambae tunawezakufika nae mbali, tunangalia pia ubunifu wake, perssonality, uchapakazi na juhudi ambayo msanii anao so kujua hivi tunaka na msanii kidogo kujua hivi kabla hatujamsainisha‘ – Navy Kenzo

ULIMISS HII YA WALICHOFANYA YOUNG KILLER NA DAYNA NYANGE KWENYE STAGE ZA FIESTA  2016 MTWARA? UNAWEZA KUITAZAMA VIDEO NIMEKUWEKA HAPA CHINI

Soma na hizi

Tupia Comments