AyoTV

VIDEO: Show ya Navy kenzo na Jux walivyokusanya watu wa Dodoma

on

Kamatia Chini Lights Up Tour ya kundi la muziki wa bongofleva Navy Kenzo iliangukia Dodoma weekend iliyopita ambapo Aika na Nahreel pia walipata time ya kumleta Jux kwenye stage kwa muda mfupi… hii video hapa chini itakuonyesha zaidi…

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments