Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Navy Kenzo nao ndani kwenye tuzo kubwa Nigeria, Top Naija Music Awards 2015!
Share
Notification Show More
Latest News
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo March 27, 2023
March 27, 2023
Picha: Kutoka kwenye Usiku wa Malkia wa nguvu Mlimani City Hall DSM
March 26, 2023
Hhayuma afunguka uwepo wa Baraza la ardhi Hanang, ‘Nilitaka kushika Shilingi ya Waziri Bungeni’
March 26, 2023
Picha: Mfugaji akamilisha Mjengo wake, aishukuru Kampuni ya Asas kwa kufanikisha ndoto zake
March 26, 2023
Waziri Jafo acharuka, atoa maagizo Mbweni “Wachimba Mchanga, kamata gari, hatua zichukuliwe”
March 26, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Habari za Mastaa > Navy Kenzo nao ndani kwenye tuzo kubwa Nigeria, Top Naija Music Awards 2015!
Habari za Mastaa

Navy Kenzo nao ndani kwenye tuzo kubwa Nigeria, Top Naija Music Awards 2015!

November 11, 2015
Share
3 Min Read
SHARE

Ni mwaka wa Watanzania kuzikusanya tuzo mbalimbali kwenye majukwa makubwa ya burudani Africa… Baada ya Diamond Platnumz, Vanessa Mdee na Ommy Dimpoz kuipeperusha bendera ya Tanzania kwenye tuzo za AFRIMMA 2015 zilizofanyika Dallas- Texas, Marekani sasa ni zamu ya watu wetu Navy Kenzo kuiwakilisha #255 kwenye headlines za tuzo za muziki Africa.

Kundi la muziki kutoka Bongo Flevani linaloundwa na wasanii wawili, Nahreel na Aika ‘Navy Kenzo’ limechaguliwa kuwania Tuzo za muziki za Nigeria zinazoitwa Top Naija Music Awards 2015 zitakazofanyika tarehe 2 January 2016.

BOVE3

Navy Kenzo wanawania kipengele cha Kundi Bora la Muziki (Best Music Group 2015) na ni kundi pekee kutoka Tanzania kuchaguliwa kwenye kipengele hicho kwa mwaka wa 2015.

Hit Single ya Navy Kenzo ‘Game’ iliyotengenezwa South Africa na kusimamiwa na Director Justin Campos wa Gorrila Films, South Africa imeweza kufanya vizuri sana na kupenya kwenye countdown mbalimbali za Radio na Tv Africa ikiwemo chati za Trace African Charts (TraceUrban), Sound City na hata chati ya MTV Base Official African Chart.

BOVE

Makundi mengine ambayo Navy Kenzo watachuana nayo ni pamoja na Dupi 2, Connect Music Group (Cmg), Ace Republic, Dp-Kings na Betrose… na kupitia page yao ya Instagram, Navy Kenzo wamepost picha na link itakayokuwezesha kuwapigia kura moja kwa moja…

>>> “ Kundi bora la muziki toka #+225 Navy Kenzo la chaguliwa kuwania kipengele cha #KundiBoraLaMziki katika tuzo za #TopNaijaMusicAwards za nchini nigeria..uwanja wa kupiga kura umeshafunguliwa kura yako ni muhimu sana kwetu tunaomba ushirikiano wako.LINK YA KUPIGIA KURA IPO KWA BIO YETU... #AboveInAMinute #GameGame #ThankYouGuys #VoteVoteVoteForUs” <<< @navykenzoofficial.

BOVE2

Milango ya kupiga kura imeshafunguliwa mtu wangu na ukitembelea hii link >>> topnaijamusicawards.com/vote/bestmusicgroup/ itakupeleka moja kwa moja kuwapigia kura Navy Kenzo kwenye kipegele cha Kundi bora la muziki (Best Music Group 2015).

Utaruhusiwa kuwapigia kura Navy Kenzo mara moja tu kwa siku na mwisho wa kupiga kura ni tarehe 31 December 2015.

Hapa chini nimekusogezea fomu ya kupiga kura utakayokutana nayo, ukifika hapo utachagua kundi la pili kwenye orodha ambalo ni Navy Kenzo.

BOVE4

BOVE5

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

 

 

You Might Also Like

EXCLUSIVE: Alikiba akanusha kuepo kwenye Album ya Davido, aingia kwenye kilimo

Sina Tatizo na yeye, mteule wa Rais hanuniwi” Steve Nyerere Kafunguka (+video)

Rihanna & Asap rocky waipanga ndoa yao ya siri , barbados hivi karibuni

MTOTO WA BECKHAM APOST SAA YA MIL 97, ANYWA POMBE NA BABA YAKE

MADONNA AWAJIBU MASHABIKI MUONEKANO WAKE MPYA BAADA YA UPASUAJI!

TAGGED: Bongofleva
Millard Ayo November 11, 2015
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Kama umeona picha mbaya kwenye account ya Ray C Instagram, kilichomkuta ni hiki.. (UHeard)
Next Article Countdown za Vanessa Mdee anavyosogelea stage ya Tuzo za AFRIMA 2015 Nigeria..
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo March 27, 2023
Magazeti March 27, 2023
Picha: Kutoka kwenye Usiku wa Malkia wa nguvu Mlimani City Hall DSM
Top Stories March 26, 2023
Hhayuma afunguka uwepo wa Baraza la ardhi Hanang, ‘Nilitaka kushika Shilingi ya Waziri Bungeni’
Top Stories March 26, 2023
Picha: Mfugaji akamilisha Mjengo wake, aishukuru Kampuni ya Asas kwa kufanikisha ndoto zake
Top Stories March 26, 2023

You Might also Like

Top Stories

Picha: Kutoka kwenye Usiku wa Malkia wa nguvu Mlimani City Hall DSM

March 26, 2023
Top Stories

Hhayuma afunguka uwepo wa Baraza la ardhi Hanang, ‘Nilitaka kushika Shilingi ya Waziri Bungeni’

March 26, 2023
Top Stories

Waziri Jafo acharuka, atoa maagizo Mbweni “Wachimba Mchanga, kamata gari, hatua zichukuliwe”

March 26, 2023
Top Stories

Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Mwanza limefanya misa Takaridu ya Kumuombea Hayati JPM

March 26, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?