Habari za Mastaa

Navy Kenzo na Vanessa Mdee wameisambaza hii collabo “Game”- (Audio)

on

Navy-Kenzo-Vanessa-Mdee-Game

Good news kwa wale wapenzi wa Bongo Fleva kundi la Navy Kenzo limerudi kuziandika headlines za leo na ngoma yao mpya iitwayo Game waliomshirikisha Vanessa Mdee (VeeMoney).

Kama wewe ni mpenzi wa miondoko flani ya dancehall yenye fleva ya kibongo basi Navy Kenzo na VeeMoney wamekurahisishia kazi kwenye ngoma hii.

Nimekusogezea wimbo huo hapa chini, bonyeza play kuusikiliza.


Nitakutumia stori zote ukibonyeza hapa >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos ili kila video ya AyoTV ikufikie.

Soma na hizi

Tupia Comments