Habari za Mastaa

Nay wa Mitego afunguka sababu za kujitoa tuzo za Muziki (video+)

on

Usiku wa kuamkia leo Msanii  Rich Mavoko amefanya listening party ya Album yake iliyopewa jina la ‘Fundi’ ambapo aliwaalika Watu mbalimbali.

Miongoni waliohudhuria ni Msanii Nay wa Mitego ambae alikutana na waandishi na kueleza sababu za kujitoa katika mchakato wa tuzo Muziki.

Unaweza ukabonyeza play kufahamu zaidi yale aliyoyazungumza Nay wa Mitego.

FID Q AMTETEA STEVE NYERERE ADAI MWANA FA ALICHANGANYA MAMBO

Tupia Comments