Habari za Mastaa

MdundoMPYA: Nay wa Mitego anakualika kuisikiliza hii ‘Shika adabu yako’

on

Baada ya kutamba tena na ‘Nyumbani kwetu’ , Staa wa bongoflevani Nay wa Mitego tayari amekusogezea tena mdundo mpya unaitwa ‘Shika adabu yako‘ ambao unaweza kuusikiliza kwa kubonyeza hii link ya blue hapa chini.

bit.ly/ShikaAdabuYako

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika AYO tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter,FBInstagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>>INSTAGRAMTWITTERFBYOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments