on air with millardayo

VIDEO: Nay wa Mitego na ukweli wa DNA 2015, kawaongelea pia Shamsa FORD na Chagga Barbie

on

2015 ulikua ni mwaka wa headlines za mapenzi pia kwa staa mwingine kutoka kwenye bongofleva, Nay wa Mitego ambaye alikutwa na makubwa mpaka kuamua kwenda kufanya vipimo vya DNA ili kujua kama mtoto ni wake au wa Mwanaume mwingine, pia siku kadhaa baadae akawa mapenzini na staa wa movie Shamsa Ford, ukweli wote upo kwenye hii video hapa chini.

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments