on air with millardayo

REPEAT: Nay wa Mitego aliumizwa na hili pia mwaka 2015 ila hakuongea kwa undani kiasi hiki

on

Kila mtu anayo yaliyompata mwaka 2015 iwe huzuni au furaha, kwa staa wa bongofleva Nay wa Mitego kwenye upande wa mapenzi hawezi kusahau mengi ikiwemo ya mpenzi wake kuvishwa pete ya uchumba na Mwanaume mwingine wakati huohuo akiwa na Nay, mengine yote aliyoyasema yapo kwenye hii video hapa chini’

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyezahapa>>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE.

Soma na hizi

Tupia Comments