Habari za Mastaa

Huu ndio Ushauri wa Nay wa Mitego kwa Mr Blue kwenye wimbo wa Freedom (+Audio)

on

Kama utakuwa ni mpenzi wa kufuatilia stori za entertaiment basi hizi hapa zisikupite, millardayo.com imekurekodia stori  zote za April 27 2016  ambazo zimepata airtime kupitia 255 ya XXL na moja ya Stori ambayo imepata airtime ni hii ya Nay wa Mitego kumpa ushauri Mr.Blue kwenye wimbo wa Freedom.

Ni siku chache zimepita tangu kutoka kwa video ya Freedom ya Sugu, video ambayo ameifanya na Director Hanscana, baada ya kutoka nyimbo hiyo kukatokea utata wa ngoma hiyo ambayo Mr blue akasema ngoma ni yake, sasa leo kupitia 255 ya Clouds FM Nay wa Mitego amefunguka kuhusiana na ngoma hiyo nakutaka kumpa idea Mr Blue.

>>>’Blue angekuwa ni mshikaji wangu ningemshauri na yeye amtoe Sugu alafu kama inawezekana aniweke mimi kwenye chorus halafu tuharibu hali ya hewa tutajuana huko mbele ya safari, halafu kama ni hela ya kuifanyia Video ngoma hii mimi nitalipa hata kwa GodFather au Hanscana‘:-Nay wa Mitego

Stori zote zilizopata airtime unaweza kubonyeza Play hapa chini….

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

ULIMISS PROF JAY ALIVYOKUTANA NA WANANCHI WAKE ITAZAME HAPA CHINI…

Soma na hizi

Tupia Comments