Habari za Mastaa

Nay wa Mitego kayaongea kuhusu kufungiwa kwa wimbo wake ‘Pale Kati’

on

Ni July 16, 2016 ambapo Baraza la sanaa Tanzania (BASATA) limetoa rasmi tamko la kuufungia wimbo wa msanii wa Bongo Fleva, Nay wa Mitego uitwao PALE KATI.

Sasa July 22,2016 ameongea na millardayo.com kuhusu kufungiwa kwa wimbo wake na kusema…>>>>>’Ni kweli nimezipata taarifa za kufungiwa kwa wimbo wangu lakini nafikiri haya ni mambo ya kisheria kwa sasa hivi mimi sina cha kuongea maana kwa upande wangu sidhani kama kuna sababu za msingi za kufungiwa kwa wimbo wangu’- Nay Mitego

ULIIKOSA MAMBO MATANO YA NAY WA MITEGO HATOYASAHAU BAADA YA KUTOA ‘SHIKA ADABU YAKO’ BASI ITAZAME HII VIDEO HAPA

Soma na hizi

Tupia Comments