AyoTV

Siwema, mama mtoto wa Nay wa Mitego kafungwa jela miaka miwili, Nay kaeleza anachokijua (+Video)

on

Ni stori iliyoanza kuchukua headlines April 21, 2016 Ikiwa bado tunasubiria taarifa kamili kutoka Mahakamani, sasa  Ayo TV ilimpata staa Nay wa Mitego kuthitibisha taarifa hizo za mzazi mwenza,  Siwema kufungwa miaka miwili Jela.

Akizungumza staa huyo na ripota wa Ayo TV alisema…>>>’Taarifa nimezipokea ni kweli Mzazi mwenzangu amefungwa na ninakumbuka nilipoamka tu nikakutana na missed calls za ndugu zake kadhaa ambao wananifahamu nikahisi kuna kitu maana sio kawaida watu kunipigia mara kwa mara, kumpigia akaniambia Siwema amehukumiwa miaka miwili Jela sikuamini ikanibidi nimpigie tena ndugu wa karibu naye akanithitibishia hivyo‘ – Nay wa Mitego

Kosa unajua mimi nilishasahau kwamba kitu chochote kichotokea kipindi cha nyuma kwasababu ni muda kidogo na pia sikuwa naye kwenye mawasiliano ila niliachoambiwa kuwa amehukumiwa miaka miwili kutoka na kosa lake, nimejikuta nimekuwa mnyonge nimeingia imani kusikia habari hiyo’ – Nay wa Mitego

Unaweza ukabonyeza play kutazama interview ya Nay wa Mitego akizungumza kuhusu kufungwa kwa Mzazi mwenza miaka miwili Jela

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments