Habari za Mastaa

Manara baada ya kuachiwa na Polisi “Tumuombee MO DEWJI, tuwaachie Polisi”

on

Ofisa Habari wa Simba, Haji Manara ni miongoni mwa watu 19 walioachiwa kwa dhamana jana usiku baada ya kushikiliwa na polisi kwa takribani siku nne wakihusishwa na tukio la kutekwa kwa mfanyabiashara Mohammed Dewji ‘Mo Dewji’

Leo Manara  ameandika katika page yake ya Instagram “Alhamdulillah…. kila jambo huja na sababu yake, na mitihani ya kilimwengu tumeumbiwa sisi binaadamu, naendelea kuwasihi tuviache vyombo vinavyohusika vitimize wajibu wao, kubwa tuendeleze dua na sala kwaajili ya kiongozi wetu InshaAllah..”

Rais Magufuli akerwa “Kwa nini mnamdanganya Mwl. Nyerere, Ma-RC na MA-DC toeni maelezo”

 

Soma na hizi

Tupia Comments