Katika habari zilizotrend mitandaoni wiki hii ni pamoja na video ya Bwana Harusi kutokea nchini China akifichua mahusiano ya Bibi Harusi katika sherehe ya siku ya harusi yao, na alifanya hivyo kwa kucheza video iliyosemekana kuwa ni mwanamke huyo akiwa kitandani na mwanaume mwingine, ambae pia ni shemeji ya bwana harusi.
Stori kamili nimekuwekea hapa unaweza ukabonyeza play kufahamu zaidi.