Michezo

EXCLUSIVE: Licha ya kuwa na pesa na ustaa, hii ndio Sababu inayomfanya Samatta asiringe

on

Watanzania wanasubiria kwa hamu game ya kuwania kufuzu michuano ya AFCON 2019 kati ya Taifa Stars dhidi ya Uganda, game ambayo itachezwa kesho September 8 2018 katika uwanja wa Mandela nchini Uganda.

Wakati ikisubiriwa game hiyo AyoTV imempata katika exclusive interview nahodha wa timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars anayecheza soka la kulipwa katika club ya KRC Genk ya Ubelgiji Mbwana Samatta.
Mara nyingi tumezoea kusikia au imekuwa kawaida kusikia mtu akiwa maarufu na anapesa kuanza kudaiwa kuwa anaringa au anajibu watu vibaya ila imekuwa tofauti kwa Mbwana Samatta ambaye licha ya kupata mafanikio na pesa bado anasifika kuwa haringi.


Mtazamo wa Madee kwa nini Messi na Griezmann hawakustahili tuzo za FIFA

Soma na hizi

Tupia Comments