Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: VIDEO: Onyo la polisi msimu huu wa sikukuu
Share
Notification Show More
Latest News
TBS yawataka wauza vyakula kujisajili na maeneo yao
February 3, 2023
Habari kubwa Magazetini Kenya leo February 3, 2023
February 3, 2023
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo February 3, 2023
February 3, 2023
Breaking: Sheikh Mkuu DSM atumbuliwa, sakata la Dr Mwaka na mkewe
February 2, 2023
Mason Greenwood afutiwa mashtaka
February 2, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > AyoTV > VIDEO: Onyo la polisi msimu huu wa sikukuu
AyoTV

VIDEO: Onyo la polisi msimu huu wa sikukuu

December 22, 2016
Share
1 Min Read
SHARE

Jeshi la polisi nchini kupitia kwa msemaji wake mratibu mwandamizi Advera Bulimba limetoa onyo kwa wananchi waliojipanga kufanya uhalifu katika kipindi cha kuelekea sikukuu za mwisho wa mwaka.

Akiongea na waandashi Dar es salaam mratibu mwandamizi Advera Bulimba amesema…>>>’Tunaelekea katika kipindi cha mwisho wa mwaka ambapo kuna sikukuu za kufululiza lakini katika uzoefu tumeona ni muda ambao baadhi ya watu wamekuwa wakitumia fursa zilizopo‘

‘Lakini pia wapo baadhi ya watu wamekuwa wakitumia nafasi hizo kwa ajili ya kufanya uhalifu ikiwa ni pamoja na wale wanaojipatia kipato kisicho halali‘ –Advera Bulimba

‘Jeshi la polisi tumejipanga vyema na hatutaruhusu mtu yeyote aharibu amani ya nchi kwa sababu zake binafsi, tunaomba wananchi watoe ushirikiano wa kutosha katika kushiriki ulinzi shirikishi‘ –Advera Bulimba

Unaweza kuendelea kumsikiliza mratibu mwandamizi Advera Bulimba kwenye hii video hapa chini…

EXCLUSIVE: ‘Ukweli sina mimba, nilifanya vile kwa sababu’ Nisha 

You Might Also Like

Fredy Lowassa akabidhi vifaa vya shule kwa waliofauli 2023

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kuongoza ATF Marathon 2022 Lindi

TAWA yashiriki ufunguzi wa mkutano wa 65 wa UNWTO-CAF jijini Arusha

Ocean City Community Marathon, zimelenga kukatia Bima watoto yatima

Naibu Gavana wa Burundi (BRB) aipongeza CRDB

TAGGED: Ayo TV, habari daily, Polisi, serikali ya Tanzania
Admin December 22, 2016
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Rapper Chemical aeleza kilichokwamisha movie yake na Wema Sepetu
Next Article VIDEO: Rais Magufuli amteua mrithi wa Jaji Lubuva
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

TBS yawataka wauza vyakula kujisajili na maeneo yao
Top Stories February 3, 2023
Habari kubwa Magazetini Kenya leo February 3, 2023
Magazeti February 3, 2023
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo February 3, 2023
Magazeti February 3, 2023
Breaking: Sheikh Mkuu DSM atumbuliwa, sakata la Dr Mwaka na mkewe
Top Stories February 2, 2023

You Might also Like

Top Stories

TBS yawataka wauza vyakula kujisajili na maeneo yao

February 3, 2023
Top Stories

Bilioni 3.2 zatolewa kwa Wajasiriamali 16 wa Nishati safi ya kupikia

February 2, 2023
Top Stories

Maombi maalum Sudan Papa Francis afike salama

February 2, 2023
Top Stories

Gharama ya kupunguza uzito kwa puto, madhara yake?, Msechu Kilo 7 zimepungua

February 2, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?