Top Stories

HEKAHEKA: Geah Habib kamtafuta mjane aliyenyang’anywa mali na ndugu wa mume

on

Mtangazaji Geah Habibu katuletea Hekaheka ya Leo Nov 8, 2017 ambayo imetokea Tabata Dar es Salaam na inamuhusu mwanamke ambaye amefiwa na mumewe na baada tu ya mume wake kufariki chumba alichokuwa analala na mumewe kikafungwa na ndugu wa mume na haruhusiwi kuingia ndani na kudaiwa kuwa mchawi kamuuwa mumewe.

Mwanamke huyo amekuwa akilala sebuleni baada Mumewe kufariki ambapo ndugu zake walichukua kila na kukifunga chumba walichokuwa wakilala na mumewe huku akidaiwa kuwa yeye ndiye chanzo cha kifo cha mumewe, kitu kilichopelekea mwanamke huyo kushindwa hata kumzika mumewe akiambiwa atakatwa mapanga.

Kusikiliza Full Story bonyeza PLAY hapa chini..

HEKAHEKA: Anyang’anywa mali na ndugu wa mume kabla ya kufahamu kifo cha mumewe

Soma na hizi

Tupia Comments