AyoTV

VIDEO: Waziri Nchemba kaongea bungeni kuhusu kiwango hiki cha fedha

on

Mei 3 2016 Waziri wa Kilimo, Mifugo na UvuviMwigulu  Nchemba alikuwa akiwasilisha bajeti ya mapato na matumizi kwa mwaka 2015/2016 katika Wizara yake.

Hapa nimekusogezea dakika zake mbili kutokea bungeni Dodoma…

ULIIKOSA HII BAADA YA KUTOKA MAREKANI MTOTO GETRUDE KAKARIBISHWA BUNGENI LEO, ALICHOKIZUNGUMZA JE?

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments