AyoTV

VIDEO: Waziri Nchemba kafanya ziara ya kushtukiza usiku na kufuta watu kazi

on

Usiku wa Feb 11 2016,  Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi Mwigulu Nchemba alifunga safari ya ghafla kuelekea katika machinjio ya Ukonga Mazizi Dar , safari hii ikiwa ni kupambana na kuwakamata wanaohujumu kodi pamoja na mapato ya serikali ambapo camera ya AyoTV iliyanasa matukio yote makubwa, unaweza kuyatazama hapa kwenye hii video

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments