Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Jinsi wizara ya Fedha ilivyowapokea Mwigulu Nchemba na Malima leo January 22 2014.
Share
Notification Show More
Latest News
PICHA: Matukio ya Mkutano Mkuu wa CAF uliyofanyika Tanzania
August 11, 2022
Ndugu abiria kulipwa Milioni 150, Wakili aibua mapya ‘Watu binafsi waliopost meme wajiandae’
August 11, 2022
Ajali Mbaya!! Watu sita wafariki, Polisi wafunguka, chanzo ‘Dereva alikuwa Mwendokasi, lilipinduka’
August 11, 2022
Hafla ya makabidhiano ya data za utafutaji wa Mafuta na Gesi asilia kwa vitalu Zanzibar
August 11, 2022
Ukumbini: Bwana Harusi aonesha video ya mkewe akiwa faragha na shemeji yake chumbani
August 11, 2022
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Mix > Jinsi wizara ya Fedha ilivyowapokea Mwigulu Nchemba na Malima leo January 22 2014.
Mix

Jinsi wizara ya Fedha ilivyowapokea Mwigulu Nchemba na Malima leo January 22 2014.

January 22, 2014
Share
1 Min Read
SHARE

68462_652783124783762_551861377_nMawaziri walioteuliwa kwenye mabadiliko ya baraza la mawaziri waliripoti ofisini January 22 2014 ambapo hii post inawahusu naibu waziri wa fedha Mwigulu Nchemba alivyopokelewa na Wafanyakazi wa Wizara ya Fedha jijini Dar es salaam.

Tukio hili limefanyika nje ya Wizara ya Fedha ambapo Wafanyakazi walijitokeza kuwalaki mawaziri wapya walioteuliwa na Rais Kikwete wiki iliyopita ili kujaza nafasi za mawaziri wanne zilizokuwa wazi kutokana na kujiuzulu pamoja na kifo cha waziri wa fedha marehemu Mgimwa.

484860_652784304783644_994477933_nMwigulu Nchemba aliambatana na Mh.Malima ambaye nae ni naibu waziri wa fedha ambapo hafla ya Kuwapokea Mawaziri hao Wapya imekamilika  jioni ya January 22 2014.

1620672_652783341450407_670236241_n

You Might Also Like

Mwana FA alivyoungana na Viongozi mbalimbali kuhamasisha Zoezi la Sensa, Masuguru Wilayani Muheza

Bwawa la Mwalimu nyerere sasa kazi ni Usiku na Mchana, ‘kukamilika June 2024’ Waziri Makamba anena

Picha:Kutoka kwenye shangwe za Simba DAY uwanja wa Mkapa Dar es Slaam

Watalii zaidi ya 30 watembelea maporomoko ya Maji Hululu

Kampuni ya PAET imewekeza Dola Milioni 70 uendelezaji gesi

Millard Ayo January 22, 2014
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Picha za ajali iliyoua wanafunzi watano Mtwara leo Jan 22 pamoja na taarifa kamili.
Next Article Picha 7 za kitakachoonekana ktk video mpya ya Weusi ‘nje ya box’ magari na yule manka wa kichaga sasa
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

PICHA: Matukio ya Mkutano Mkuu wa CAF uliyofanyika Tanzania
Sports August 11, 2022
Ndugu abiria kulipwa Milioni 150, Wakili aibua mapya ‘Watu binafsi waliopost meme wajiandae’
Top Stories August 11, 2022
Ajali Mbaya!! Watu sita wafariki, Polisi wafunguka, chanzo ‘Dereva alikuwa Mwendokasi, lilipinduka’
Top Stories August 11, 2022
Hafla ya makabidhiano ya data za utafutaji wa Mafuta na Gesi asilia kwa vitalu Zanzibar
Top Stories August 11, 2022

You Might also Like

Top Stories

Ndugu abiria kulipwa Milioni 150, Wakili aibua mapya ‘Watu binafsi waliopost meme wajiandae’

August 11, 2022
Top Stories

Ajali Mbaya!! Watu sita wafariki, Polisi wafunguka, chanzo ‘Dereva alikuwa Mwendokasi, lilipinduka’

August 11, 2022
Top Stories

Ukumbini: Bwana Harusi aonesha video ya mkewe akiwa faragha na shemeji yake chumbani

August 11, 2022
Top Stories

“Marufuku kuingia na silaha Taifa” Kamanda Muliro

August 11, 2022
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?