AyoTV

VIDEO: ‘Ikitokea uchochezi wowote tutashughulika na viongozi husika’ -Mwigulu Nchemba

on

Waziri wa mambo ya ndani ya nchi Mwigulu Nchemba ametoa onyo kwa viongozi wa vyama vya siasa ambao wamekuwa wakishinikiza vurugu na kutotii amri ya serikali na kuagiza polisi kuwashughulikia kwanza viongozi wa misafara hiyo alipokuwa akijibu swali la mbunge wa Ulanga Goodluck Mlinga.

ULIMISS HII YA CCTV ZA BUNGE ZILIVYONASA TUKIO LA MBUNGE GOODLUCK KUVULIWA ‘BARAGHASHIA’

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FBInstagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa  INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments