AyoTV

VIDEO: “Tukienda kibabe namna hii tutavuruga Nchi” – Spika Ndugai

on

Spika wa bunge Job Ndugai leo wakati wa Bunge kuahirishwa amesimama na kuzungumzia ishu ya baadhi ya Polisi wa Tanzania kushika Wabunge bila yeye kupewa taarifa ambapo amesisitiza ‘hatuwezi kwenda namna hiyo’

Amesema hadhi ya Bunge iko palepale na kwamba Muhimili wa Bunge hauna ugomvi wowote na serikali, mambo ya Ofisa mmojawapo kusahau mipaka na kuvuka ni lazima yeye aambiwe, unaweza kutazama kila alichosema kwenye hii video

VIDEO: “Unapotangaza mtu aje Polisi saa 5, wewe ni nani? – MBOWE

Soma na hizi

Tupia Comments