Top Stories

Kitu Profesa Ndalichako kaongea Bungeni leo kuhusu mikopo vyuo vikuu (+video)

on

Ni Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa Joyce Ndalichako aliesimama Bungeni Dodoma leo kutoa kauli kuhusu udahili wa Wanafunzi wa vyuo vikuu pamoja na utoaji mikopo kwa vyuo vikuu ambao bado umeendelea kugonga vichwa vya habari… hii video hapa chini ina kila alichokisema.

BUNGENI: Mbowe vs Waziri Mkuu Majaliwa kuhusu shambulio la Tundu Lissu… bonyeza play hapa chini kutazama mwanzo mwisho

Soma na hizi

Tupia Comments