AyoTV

Ninayo furaha kukualika kuitazama video mpya ya Ommy Dimpoz – Ndagushima

on

Screen Shot 2014-05-18 at 1.33.37 AMKituo pekee cha TV kilichourusha huu wimbo kwa mara ya kwanza ni MTV BASE May 16 2014 ambapo sasa ni zamu ya mitandao baada ya kuachiwa rasmi May 17 2014.

Kila kinachonifikia ni halali yako kikufikie mtu wangu, ili niwe nakutumia kila kinachonifikia jiunge na mimi kwenye twitter kwa kubonyeza HAPA, pia facebook na Instagram kwa kubonyeza FB na INSTA

Tupia Comments