Top Stories

Ndalichako kaanza kuwalipia ada waliopata division one jimboni kwake (video+)

on

March 3, 2021 aliyekua Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia ambaye pia ni Mbunge wa Kasulu Mjini, Prof.Joyce Ndalichako alitoa ahadi kwa watoto wa Kike wanaosoma katika Shule za Serikali (katika Jimbo la Kasulu Mjini) watakaopata Daraja la Kwanza (Division One) kwa matokeo ya kidato cha nne katika kipindi cha miaka mitano ya Ubunge wake, wote atakuwa anawalipia ada ya kidato cha tano na sita.

 

Soma na hizi

Tupia Comments