Top Stories

Ndani ya miezi mitatu tani 590 za mizigo zasafirishwa kwenda nje kupitia KIA

on

Naibu waziri wa uchukuzi na Mawasiliano mhandisi Ashatasta Nditiye akiwa katika uwanja wa KIA amesema tangu walipozindua ndege za mizigo hadi sas wameweza kusafirisha tani 590 za mizigo kutoka katika uwanja wa KIA kwenda ulaya

“Nasisi kama serikali tupo katika mchakato wakupata ndege ya mizigo,tutakuwa na ndege yetu wenyewe ya mizigo tunataka mizigo ya watanzania isafirishwe kutoka Tanzania kwenda kwenye masoko ya moja kwa moja ulaya ili watanzania wenzetu waweze kupata faida inayoeleweka”Nditiye

MAAJABU: DUKA LISILO NA MLANGO WA MBAO WALA CHUMA NA HAKUNA ANAEJARIBU KUIBA “USIKU NAZIBA NA PAZIA”

Soma na hizi

Tupia Comments