Top Stories

Ndani ya siku mbili,bangi zaidi ya tani mbili zakamtwa Arusha

on

Jeshi la polisi kwa kushirikiana na mamlaka yakupamabana na kudhibiti dawa za kulevya  nchini wamekamata nakuteketeza kwa moto madawa yakulevya aina ya bangi magunia 160 ambayo ni zaidi ya tani mbili walizozikamata  zikiwa zimehiadhiwa nyumbani kwa watuhumiwa wawili katika kijiji cha Engalauni wilayani Arumeru mkoani

Kaimu kamishna  jenerali wa mamlaka yakupamabana na dawa za kulevya nchini James Kaji amesema katika operesheni hiyo waliyoifanya wamefanikiwa kuwakamatwa watu wawili na taratibu za kisheria zitakapokamilika watapelekwa mahakamani

DADA ATUHUMIWA KUMUUA KAKA YAKE KISA KULALA KWENYE CHUMBA ALICHOKIACHA BABA YAO

Soma na hizi

Tupia Comments