Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Jionee ilivyotua Ndege kubwa ya Saudi Arabia Airport DSM, Makamu waRais aondoka nayo
Share
Notification Show More
Latest News
Moruwasa, Wamiruvu wafanya Usafi na kutoa Elimu kwa Wakazi wa Vituli
June 3, 2023
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo June 3, 2023
June 3, 2023
Picha: DC Halima Bulembo aungana na wakuu wa Idara, ‘Kutekeleza wajibu wao katika Utumishi’
June 2, 2023
Upinzani unashinikiza mageuzi mapya ya uchaguzi
June 2, 2023
Mlipuko wa ugonjwa wa Marburg umekwisha rasmi Tanzania.
June 2, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Top Stories > Jionee ilivyotua Ndege kubwa ya Saudi Arabia Airport DSM, Makamu waRais aondoka nayo
Top Stories

Jionee ilivyotua Ndege kubwa ya Saudi Arabia Airport DSM, Makamu waRais aondoka nayo

March 26, 2023
Share
1 Min Read
SHARE

Kwa mara ya kwanza Ndege kubwa aina ya Airbus ya Shirika la Ndege la Saudi Arabia imetua katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere.

Akipokea ndege hiyo Waziri wa Uchukuzi na Ujenzi Prof Makame Mbarawa amesema kuanza safari za moja kwa moja kutoka Saudi Arabia hadi Tanzania kutapunguza safari ambayo mtu alikuwa anatumia zaidi ya saa kumi kufika Saudi Arabia lakini sasa atatumia masaa manne na nusu na itakuwa inafanya safari mara nne kwa wiki na kufanya wale ambao wanaenda kuhiji kutumia muda mdogo na kutozunguka nchi zingine iliwafike Saudi Arabia.

Miongoni mwa wasafiri waliotumia ndege hiyo kwa ajili ya kwenda kuhiji Macca ni Makamu wa Pili wa Rais wa serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Hemed Abdulla akiambata na mkewe.

You Might Also Like

Moruwasa, Wamiruvu wafanya Usafi na kutoa Elimu kwa Wakazi wa Vituli

Picha: DC Halima Bulembo aungana na wakuu wa Idara, ‘Kutekeleza wajibu wao katika Utumishi’

Upinzani unashinikiza mageuzi mapya ya uchaguzi

Mlipuko wa ugonjwa wa Marburg umekwisha rasmi Tanzania.

Serikali ya Congo na mahakama ya ICC zakubaliana kuimarisha ushirikiano

Edwin TZA March 26, 2023
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Picha: Hawa ndio ‘Perfect Kanzu’, mastaa na Watu maarufu ununua hapa Kanzu zao Dar es Salaam
Next Article Full Video: Tazama Mandonga alivyompiga Kenneth ‘Raia wa Uganda’ na kuibuka Mshindi wa Pambano hilo
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Moruwasa, Wamiruvu wafanya Usafi na kutoa Elimu kwa Wakazi wa Vituli
Top Stories June 3, 2023
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo June 3, 2023
Magazeti June 3, 2023
Picha: DC Halima Bulembo aungana na wakuu wa Idara, ‘Kutekeleza wajibu wao katika Utumishi’
Top Stories June 2, 2023
Upinzani unashinikiza mageuzi mapya ya uchaguzi
Top Stories June 2, 2023

You Might also Like

Top Stories

Moruwasa, Wamiruvu wafanya Usafi na kutoa Elimu kwa Wakazi wa Vituli

June 3, 2023
Top Stories

Picha: DC Halima Bulembo aungana na wakuu wa Idara, ‘Kutekeleza wajibu wao katika Utumishi’

June 2, 2023
Top Stories

Mlipuko wa ugonjwa wa Marburg umekwisha rasmi Tanzania.

June 2, 2023
Top Stories

Serikali ya Congo na mahakama ya ICC zakubaliana kuimarisha ushirikiano

June 2, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?