Top Stories

Ndege iliyobeba watu 98 yaanguka

on

Imethibitishwa kuwa Watu 15 wamefariki na wengine 35 kujeruhiwa baada ya ndege ya Bek Air iliyobeba watu 98 kuanguka wakati inaanza kupaa kutoka uwanja cha ndege Kazakhstan

Ndege hiyo ya ‘Bek Air’ imeanguka muda mfupi baada ya kupaa kutoka Uwanja wa Ndege wa Almaty ikielekea katika Mji Mkuu wa Nchi hiyo, Nursultan.

Uwanja wa ndege wa Almaty umesema kulikuwa na abiria 98 na wafanyakazi watano ndani ya Ndege hiyo.

Tayari vikosi vya uokoaji vimeelekea eneo la tukio kufanya uokoaji.

FANYA FUJO UONE WALIVYOZUNGUKA JIJI LA MBEYA “SHOW OFF”

Soma na hizi

Tupia Comments