Top Stories

Ndege iliyokamatwa Canada ilivyoachiwa na kuondoka kwenda Mwanza (+video)

on

Ndege ya Tanzania aina ya Bombardier Q400 iliyokuwa inashikiliwa nchini Canada na kuachiwa hivi karibuni imeanza safari kuja Tanzania.

Jana, Rais Magufuli akifungua semina ya Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM jijini Mwanza, alitangaza kuwa ndege hiyo imeachiwa na itawasili nchini muda wowote.

MAGUFULI “KWA TAARIFA TU NDEGE WALIYOKAMATA WAMEIACHIA”

Soma na hizi

Tupia Comments