Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Maagizo ya Rais wa Nigeria kuhusu kupigwa mnada ndege za Rais
Share
Notification Show More
Latest News
Waziri Mkuu ashtukia mchezo mchafu Kigoma, ‘zinapotea kinyemela, naleta timu’
September 22, 2023
Waziri wa Michezo, Dkt Damas Ndumbaro ajiuzulu nafasi hii kwenye uongozi wa TFF
September 22, 2023
GSM Home wamekuletea ‘Gulio la Kibabe’, haijawahi tokea wahi sasa, Ommy Dimpoz afunguka
September 22, 2023
Arsenal haihitaji motisha ya ziada dhidi ya Spurs- Arteta
September 22, 2023
Derby ya London Kaskazini huko Arsenal ni ‘changamoto kubwa’ – Postecoglou
September 22, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Mix > Maagizo ya Rais wa Nigeria kuhusu kupigwa mnada ndege za Rais
Mix

Maagizo ya Rais wa Nigeria kuhusu kupigwa mnada ndege za Rais

October 5, 2016
Share
1 Min Read
SHARE

October 5, 2016 Nakusogezea hii kutoka Nigeria mtu wangu. Rais wa Nigeria Muhammadu Buhari ametoa agizo kwa mamlaka ya usafirishaji nchini Nigeria kuzipiga mnada ndege mbili zinazotumika na Rais wa nchi hiyo ikiwa ni sehemu ya kupunguza matumizi mabaya ya pesa za Umma na ubadhirifu serikalini.

00361237-e531eca5c9984a0e21f31729c603ea1d-arc614x376-w1200

Kwa mujibu wa shirika la habari AFP limezungumza na msemaji wa Rais wa Nigeria, Garba Shehu, ambaye amesema ndege hizo mbili kati ya 10 zinazotumiwa na rais wa nchi hiyo zitauzwa kama sehemu ya kubana matumizi yasiyokuwa na ulazima.

Serikali ya Nigeria imeweka tangazo magazetini kwamba inauza ndege hizo mbili, moja ikiwa ni aina ya Falcon 7X na nyingine ni Hawker 4000.

Taarifa ya msemaji wa Rais inasema Buhari mwenyewe ndiye aliyeidhinisha kuuzwa kwa ndege hizo huku akitoa agizo kuwa baadhi ya ndege nyingine za rais zikabidhiwe kwa jeshi la anga la nchi hiyo.

ULIMISS KAULI YA RAIS MAGUFULI KUHUSU KUPIGWA MNADA MAJENGO YA SERIKALI? TAZAMA HAPA

You Might Also Like

Mradi wa Umeme wa Upepo wa Zanzibar wapamba moto

Joe Biden atuma salamu za pole kwa Mfalme wa Morocco

Rais Samia azindua ujenzi wa soko la Kizimkazi

EWURA yaridhishwa na kazi ya utengenezaji matela ya kusafirishia mabomba ya EACOP

NIC washinda tuzo 7 ndani ya mwaka 2023

TAGGED: Nigeria
Admin October 5, 2016
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Chura ya Snura ruksa kwenye TV na Radio
Next Article HEKAHEKA: Binadamu aliyegeuka fisi baada ya kukosewa masharti ya mazishi…
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Waziri Mkuu ashtukia mchezo mchafu Kigoma, ‘zinapotea kinyemela, naleta timu’
Top Stories September 22, 2023
Waziri wa Michezo, Dkt Damas Ndumbaro ajiuzulu nafasi hii kwenye uongozi wa TFF
Top Stories September 22, 2023
GSM Home wamekuletea ‘Gulio la Kibabe’, haijawahi tokea wahi sasa, Ommy Dimpoz afunguka
Top Stories September 22, 2023
Arsenal haihitaji motisha ya ziada dhidi ya Spurs- Arteta
Sports September 22, 2023

You Might also Like

Sports

Derby ya London Kaskazini huko Arsenal ni ‘changamoto kubwa’ – Postecoglou

September 22, 2023
Sports

Xavi kuongeza mkataba wa Barcelona hadi 2025

September 22, 2023
Top Stories

Kuelekea fainali ya polisi jamii DPA cup mashabiki wajigamba afisa michezo atoa neno

September 22, 2023
Top Stories

UN yaitaka Iran kuachana na sheria mpya kuhusu hijab

September 22, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?