Top Stories

Ndege nyingine kubwa yatua ZNZ, mara ya mwisho ilikuwa 1974 (video+)

on

Ndege kubwa kutokea Uswiz imetua leo Zanzibar kwenye Uwanja wa ndege wa Kimatifa wa Abeid Amani Karume ambapo Serikali ya Zanzibar inatarajia kuongezeka kwa Ajira pindi ndege hizo zikiendelea kuja kwa wingi.

MTANZANIA ALIYEUAWA MAREKANI, FAMILIA YASIMULIA “ALIGONGA GARI KWA NYUMA”

 

 

Soma na hizi

Tupia Comments