Top Stories

Ndege zageuzwa mgahawa wa chakula (+picha)

on

Shirika la Ndege la Singapore (SIA) limezibadilisha kuwa Migahawa Ndege zake mbili ambazo zimepaki tu Changi Aiport ikiwa ni njia mojawapo ya kupunguza hasara za uendeshaji wakati huu wa corona.

Unaambiwa siti zote zimeuzwa ndani ya saa moja na nusu baada ya tangazo hilo kutangazwa jana ambapo bei iliyowekwa ni USD 475 (Milion 1.1 za Kitanzania) kwa Mtu mmoja.

“Tutaanza na Dinner siku ya kwanza, hata Mtu akitaka kufunga akalie nyumbani pia ni sawa”

Shirika hilo limesema kwa kipindi cha robo ya pili ya mwaka 2020 limepata hasara ya USD Milioni 825 kutokana na Ndege zake kutofanya kazi sababu ya corona.

KILICHOSABABISHA MOTO MLIMA KILIMANJARO “WANAPASHA CHAKULA UKASHIKA NYASI”

Soma na hizi

Tupia Comments