Top Stories

Ndege zimekimbia anga ya Iran

on

Kufuatia kudunguliwa kwa Ndege ya Ukraine nchini Iran wiki iliyopita, dalili zinaonyesha kuwa baadhi ya Ndege zinazofanya safari za Kimataifa zilizokuwa zikitumia anga ya Iran, baadhi yake sasa hazitumii anga hiyo.

Picha hizi mbili, moja tuliinasa siku ya Jumatano ikionyesha Ndege nyingi zikikatiza katika anga ya Iran, na nyingine tumeinasa leo asubuhi ikionyesha Ndege nyingi zikipita pembeni ya mpaka wa Iran, huku Ndege nyingine chache zikiendelea kupita nchini Iran.

Baadhi ya Mashirika ya Ndege ambayo yameonekana kuendelea kutumia anga ya Iran, ni pamoja na Emirates, Fly Dubai na Qatar.

WAZEE ZAIDI YA 29,000 WAWEZESHWA KUPATA MATIBABU “TULIKUWA HATUSIKILIZWI”

Soma na hizi

Tupia Comments