Duniani

VideoFUPI: Ndege wafundishwa kukamatwa “Ndege” zinazopiga picha angani Ufaransa

on

Tumezoea kuona Mbwa wakitumika na Polisi kusaidia kukamata Wahalifu na hata panya kutumika kutegua mabomu, kingine ambacho kimeripotiwa ni kuhusu Ndege aina ya tai ambao wanafundishwa kukamata Drone.

Drone

Hii imetokea Ufaransa ambapo Polisi wa nchi hiyo wanatoa mafunzo kwa tai kwa ajili ya kuzuia mashambulizi ya kigaidi nchini humo ambapo hatua hii imekuja kufuatia hofu kwamba Magaidi wanaweza kufanya mashambulizi kwa kutumia Drone ( kifaa kidogo mfano wa Helikopta kinachotumika kupiga picha kutoka angani)

KUTOKA COMORO: Uko tayari kukaa ktk nyumba ya WIFE? maisha yao je? Unaweza kubonyeza play hapa chini

BREAKING NEWS zote na stori za mastaa utazipata kwa Reporter wako MillardAyo, hakikisha umejiunga na mimi kwenye Facebook, Twitter, Instagram, Snapchat, Youtube, APP kwenye ANDROID na IOS kote huko kwa jina hilohilo la @millardayo

Soma na hizi

Tupia Comments