Duniani

VIDEO & PICHA 5 ; ndege yenye lifti ndani itakayotengenezwa marekani

on

Kadri sayansi na teknolojia inavyozidi kukua leo July 29 2016 nikakutana na hili ambalo nisingependa likupite mtu wangu, CNN imetaja ndege yenye lifti ndani itakayotengenezwa na kampuni ya Marekani ya windspeed.

Lifti hiyo imewekwa ili abiria waweze kufika kwenye siti pacha zilizotengenezwa juu ya bodi la ndege hiyo ili kuona nje wakiwa angani. Ndege hii itakua ndege ya kwanza kua na lifti ndani na wametaja kuanza na ndege binafsi na baadae kufikia kwenye ndege kubwa. 

Nakusogezea picha na video za ndege hiyo mtu wangu ili na wewe ujionee pia usisahau kuniachia comment yako hapo chini.

ndegege

ndege

ndegegeg

ndelele

ndg

ULIKOSA KUIONA VIDEO YA BILLIONEA MTANZANIA KUTOA SABABU KWANINI HAJANUNUA NDEGE BINAFSI? ICHEKI VIDEO NIMEKUEKA HAPA CHINI

 

Soma na hizi

Tupia Comments