Duniani

VIDEO & PICHA 9: Ndege kubwa itakayotengezwa na kuanza kutumika 2030

on

Mtu wangu Kama wewe ni mpenzi wa kutumia usafiri wa anga basi leo August 1 2016 nakusogezea ndege yenye jina AWWA-QG ambayo imetajwa na vituo vikubwa vya habari CNN na Daily Mail, Ndege hii ime dizainiwa na Oscar Viñals dizaina mkubwa kutoka nchini Hispania mjini Barcelona.

Ndege hii itakayo kuwa na uwezo wa kubeba abiria zaidi ya 800 pia yenye uwezo wa kujitengenezea umeme wake   wakati inapaa angani kwa kuwa na vipande vya solar kwenye mabawa yake, pia ina sehemu tatu tofauti kwa ajili ya kukaa marubani.

Zaidi kwenye ndege hii itakua na ofisi pamoja na vitanda kwajili ya kundi la ndege hiyo pamoja na engine 5, pia itakua haina kelele kwa asilimia 75 na haitatoa hewa chafu kabisa , nakusogezea picha na video za ndege hii na wewe ujionee mtu wangu pia usisahau kuniachia comment yako.

35-43

nd

ndee

ndegegege

ndegg

ndelel

ndg

dwnld

download

ULIKOSA KUIONA VIDEO YA UCHAMBUZI  MAGAZETI LEO AUGUST I 2016? ICHEKI VIDEO NIMEKUEKEA HAPA CHINI

 

 

 

Soma na hizi

Tupia Comments