Michezo

Hali ilivyo nje ya Uwanja wa Taifa, mashabiki wa Simba na mbwembwe zao leo (+video)

on

Leo February 16, 2019 Hali ilivyo kwa sasa uwanja wa Taifa mashabiki wa Simba SC wakiingia uwanjani kwa ajili ya kuangalia game yao dhidi ya Yanga.

Yanga wameingilia mlango sio rasmi, waleta basi tupu, wachezaji wakiingia na Coaster

Soma na hizi

Tupia Comments