Habari za Mastaa

Picha za watu 14 maarufu wakila ndizi kupinga ishu ya Dani Alves, yumo Waziri na msanii Nigeria.

on

davidoKwenye mechi kati ya Barcelona na Villareal kuna shabiki mmoja alimrushia ndizi Mbrazil Dani Alves anaeichezea Barca kitendo ambacho kilionyesha kabisa ni ubaguzi wa kufananishwa na Nyani ambapo Dani aliiokota ndizi hiyo na kuila kabla ya kupiga mpira wa kona na kuifanya kama sio ishu.

Baada ya hapo Dani alisema aliamua kula ndizi hiyo kwa sababu baba yake mzazi aliwahi kumwambia kuhusu umuhimu wa mwili wa mwanadamu kupata ndizi.

Ni kitendo kilichosifiwa sana na baadae kuwa topic kubwa ambapo mastaa mbalimbali wamejitokeza kumsupport Dani na kupinga ubaguzi kwa kupiga picha wakiwa wanakula ndizi ambapo miongoni mwao ni Staa wa muziki kutoka Nigeria Davido, mastaa wa soka kama Emmanuel Adebayor, Samuel Eto’o, Neymar na wengine kama wanavyoonekana hapa chini.

TZA SAMUEL ETOO VITA DHIDI YA UBAGUZI WA RANGI

Screen Shot 2014-04-30 at 1.58.22 PM

Screen Shot 2014-04-30 at 1.58.36 PM

Screen Shot 2014-04-30 at 1.58.53 PM

Screen Shot 2014-04-30 at 1.59.24 PM

Screen Shot 2014-04-30 at 1.59.32 PMScreen Shot 2014-04-30 at 2.16.05 PM Screen Shot 2014-04-30 at 2.15.54 PM Screen Shot 2014-04-30 at 2.15.44 PM Screen Shot 2014-04-30 at 2.15.31 PM Screen Shot 2014-04-30 at 2.15.21 PM Screen Shot 2014-04-30 at 2.15.10 PM Screen Shot 2014-04-30 at 2.14.57 PM

Unapenda stori kama hii isikupite? kazi yangu ni kuhakikisha hupitwi na chochote mtu wangu… ili niwe nakutumia stori zote zinazonifikia jiunge nami kwenye twitter instagram na facebook kwa jina hilohilo la @millardayo na iwe usiku au mchana nitakutumia kila kitu.

Tupia Comments