Michezo

Ndoa ya Icardi na Wanda Nara mashakani kuvunjika

on

Baada ya kukosekana mazoezini October 17 2021  kwa mchezaji wa PSG na Argentina Mauro Icardi kwa tuhuma kuwa anamtafuta mkewe Wanda Nara aliyeondoka na watoto kwa sababu ya Icardi kusaliti tena ndoa yao.

Mauro Icardi amepost picha usiku huu katika instagram account yake akiwa na mkewe location ikimuonesha yuko Milan Italia, Wanda Nara alichukuzwa kiasi cha kuondoka nyumbani na kum-unfollow instagram Mauro Icardi.

Hata hivyo kama utakuwa unakumbuka vizuri Icardi alimuoa Wanda Nara baada ya kumsaliti rafiki yake Maxi Lopez aliyekuwa kamuoa Wanda Nara na kuwaachanisha kisha Icardi akafunga ndoa na Wanda Nara 2014 ila amekuwa na tuhuma za usaliti.

Soma na hizi

Tupia Comments